Show abstract

ATHARI ZA TEKNOLOJIA KATIKA UJIFUNZAJI WA LUGHA YA KISWAHILI

Kwanza nilienda maktabani nakusoma vitabu mbali mbali ili niweze kufanikiwa na lengo langu la matini. Pia nilitumia intaneti ili kupata data fulani kama google scholar ilu niweze kujua mengi kuhusu teknolojia kulingana na watafiti mbali mbali. Vifaa vya kukusanya data Nilitumia kalamu pamoja na karatasi kuandika data nilipokuwa maktabani, kamusi ya Kiswahili sanifu, nilitumia simu kutafuta kwenye intaneti. Uchunguzi wa data Baada ya kukusanya data kutoka maktabani ya chuo kikuu Cha Makerere na nyingine kutoka kwenye intaneti, niliandaa na kuichanganua data hiyo iliyopatikana kwa makini ili niweze kupata data fasaha inayotakiwa kama inavyooneshwa katika matini hii.

more details

Author: tushemerirwe monic
Contributed by: asbat digital library
Institution: makerere university
Level: university
Sublevel: under-graduate
Type: dissertations