Show abstract

KUCHAMBUA HISTORIA NA MAENDELEO YA RIWAYA ZA KISWAHILI NCHINI UGANDA KUANZIA MWAKA WA 2005-SASA

Utafiti huu unahusu,Kuchambua Historia na maendeleo ya Riwaya za Kiswahili Nchini Uganda kuanzia Mwaka was 2005- Sasa Katika Sekta ya Elimu .Pia Utafiti huu Umedadavua Kwa Undani Changamoto Ambazo waandishi Wa Riwaya za Kiswahili Wanakumbana Nchini Uganda na Kupitia.Mwishowe Utafiti huu umetoa Pendekezo Chinzi Changamoto Hizo zitatatuliwa.

more details

Author: mogona atunga lawrence
Contributed by: asbat digital library
Institution: makerere university
Level: university
Sublevel: under-graduate
Type: dissertations